Afisa Elimu mkoani Dar, Hamis Lissu amewataka Walimu kabla ya kumuadhibu Mwanafunzi yafaa kupimwa afya zao ili kuepusha kesi mbalimbali
Alisisitiza Walimu kuzingatia miongozo iliyopo na sio kuwachapa wanafunzi kama mbwa koko na kuwasababishia ulemavu
Comments
Post a Comment