Utakumbuka April 1933 baada ya kile kilicho fahamika kama ‘great Depression’. Serikali ya Marekani ilipitisha sheria ambayo iliwakataza raia wa nchi hiyo kumiliki sarafu za dhahabu,
dhahabu, minara ya dhahabu au cheti kinacho tambulisha kuwa unamiliki vitu hivyo. Kwa maneno mengine sarafu za dhahabu au dhahabu kwa namna yoyote ile, kisheria haikuwa tena ikihesabika kama ni pesa, ‘Legal Tender.’ Kama yeyote angekutwa na vitu hivyo baada ya tarehe fulani basi angepigwa faini ya dola 10,000 na au kifungo cha miezi 6 au vyote pamoja!
Wananchi walitakiwa kuzipeleka hizo sarafu za dhahabu, dhahabu, minara ya dhahabu au cheti kinacho thibitisha kuwa unamiliki vitu hivyo, walivipeleka kwa Federal Reserve Bank, ambayo ni taasisi ya fedha inayomilikiwa na watu binafsi, na siyo Serikali. Wanao miliki Federal Reserve Bank kwao kumiliki vitu hivyo hakukuwa na hatia ingawa nao walikuwa ni raia wa kawaida, na taasisi hiyo ilikuwa ni yao binafsi na wala siyo ya Serikali, na hata sasa bado inamilikiwa na watu binafsi.
Fedaral Reserve ilicho fanya baada ya kupokea dhahabu hizo halisi, iliwapatia wananchi wa Marekani makaratasi yaliyoandikwa tarakimu, na hapo tarakimu hizo ndizo zilikuwa thamani ya makaratasi hayo. Ukipewa karatasi lililoandikwa $ 20, hiyo inayo maana kwamba, unamiliki dola ishirini. Kwa kila wakia (ounce) mmoja wa dhahabu Federal Reserve walitoa karatasi lililoandikwa $ 20 likiwa na maandishi ‘Legal Tender.’
Kwasababu taarifa hii ilitolewa kiserikali, na walimwengu wanayo tabia ya kukikubali KILA KILE AMBACHO SERIKALI IMESEMA, basi Wamarekani wengi, walikimbilia kwenye Federal Reserve Bank na kubadilisha dhahabu zao halisi kwa makaratasi yaliyo andikwa Legal Tender. Wachache waliokuwa wakifahamu hatima ya mchezo huo nini, walizinunua dhahabu zile kwa sarafu za makaratasi na kuzihamishia kwenye benki za Uswis.
Kipindi hichohicho benki ya Uingereza ikafanya mchezo kama huo kwa raia zake.
Baada ya dhahabu zote za Marekani kuwa kwenye mikono ya Federal Reserve Bank, wahuni hao wakaanza ule mchezo wao, mchafu, wakashusha thamani ya yale makaratasi waliyo wapatia watu, a.k.a sarafu za makaratasi kwa 41%. Halafu Januari 1934 wakapitisha sheria ya kutengua sheria ya awali na hivyo kuwaruhusu Wamarekani kumiliki dhahabu tena, lakini sasa watanunua kwa $35 kwa wakia mmoja wa dhahabu. Kwa maneno mengine raia waliporwa 41% ya utajiri wao katika zoezi hilo.
Unaweza kuona sarafu za makaratasi zinavyokuwa rahisi kuzipandisha na kuzishusha thamani. Lakini si hivyo tu utajiri wote ambao umethaminishwa kwa sarafu za makaratasi unashuka thamani pale makaratai hayo yanapo shushwa thamani. Hichi ndicho IMF anacho fanya kwenye vijinchi vyetu pale wanapo shusha thamani ya sarafu zetu, na kupora utajiri wetu kama ambavyo Federal Reserve walivyo wapora raia wa Marekani 1934.
Illuminanti hawakuishia hapo, wakaenda kutengeneza chombo, kitakacho bariki muundo wa wa ‘Sarafu za Karatasi’ kimataifa, mahala palipo fahamika kama Bretton Woods, mwaka 1944, wakaunda IMF.
IMF, AMBAYE KWA KUTUMIA MFUMO HUU WA FEDHA ZA MAKARATASI, SASA IMF NI MMILIKI HALALI WA ARIDHI KUBWA, MACHIMBO YA MADINI, MAFUTA NA MALIGHAFI NYINGI KATIKA NCHI ZINAZO ENDELEA, HATA KATIKA MIKUTANO YA KIMATAIFA INAYOHUSU MAMBO YA FEDHA NA UCHUMI IMF NDIYO MWAKILISHI WA NCHI HIZI!!!!!
Utawasikia watoto wa mjini wakisema ‘Nchi ishauzwa hii.’ Maneno yao hayapo mbali na ukweli.
IMF, ililetwa kazi moja tu, kubariki mfumo huu wa pesa kimataifa na kuwa ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kushusha thamani ya sarafu yeyote ile duniani pale ambapo itaona inafaa kufanya hivyo.
Wakati Illuminanti wakizipatia nchi zilizo kuwa chini ya utawala wa kikoloni ‘uhuru’ wao, kwa upande mwingine walihakikisha nchi hizo zina fungamana na IMF katika masuala yao yote ya kiuchumi na fedha.
‘Katiba’ ya IMF ambayo inapaswa kusainiwa na nchi wanachama, imesema waziwazi kuwa, ‘NI MARUFUKU KWA DHAHABU KUTUMIKA KAMA PESA.’
Mwongozo huo umefanya
Comments
Post a Comment