IMF NA WB NDIYO CHANZO CHA UMASKINI KWA NCHI ZINAZOENDELEA. Season.1
UNAUJUA HUO MBADALA?
NILIDHANI HAUTA ULIZA!
MBADALA WENYEWE NI SARAFU YA DOLA au EURO.
HIVYO BASI NCHI WANACHAMA BADALA YA KULUNDIKA DHAHABU KWENYE HAZINA ZAO, WANALUNDIKA MAKARATASI YA DOLA NA EURO!!!!!!
LAKINI SI HIVYO TU, NA THAMANI NA UTAJIRI WA NCHI HUSIKA HAUPIMWI KWA MIGODI MINGAPI YA VITO, AU NISHATI, AU MALI ASILI, LAKINI KWA MAKARATASI KIASI GANI YA DOLA ua EURO, INAYO YAMILIKI.
HIVYO BASI VIONGOZI WA NCHI HIZI ZA DUNIA YA TATU WANAKIMBIZANA USIKU NA MCHANA, KUUZA RASILIMALI ZAO, KAMA MADINI YA ALAMASI, DHAHABU, TANZANITE, GESI MBALIMBALI, MAZAO NA HATA ARIDHI, KWA BEI YA KUTUPWA ILI WAWEZE KUYAPATA MAKARATASI HAYO YENYE NEMBO YA $ AU €.
UPO HAPO?
NI KUULIZE SWALI ..?
‘UNAFAHAMU MWANAUCHUMI AU KIONGOZI YOYOTE YULE WA NCHI YAKO ANAPOSEMA UCHUMI UMEKUWA KWA ASILIMIA 3.7, au 4.6, au 7.... UNAJUA ANAMAANISHA NINI?
NGOJA NILIPOTEZEE JIBU LAKE KWA SASA NISIJE KUIITWA MCHOCHEZI BURE!
Art. 4. Section 2(b) of the Articles of Agreement stated: “exchange arrangements may include (i) the maintenance by a member of a value for its currency in terms of the special drawing right or another denominator, other than gold, selected by the member, or (ii) cooperative arrangements by which members maintain the value of their currencies in relation to the value of the currency or currencies of other members, or (iii) other exchange arrangements of a member's choice.”
Umekiona kipengele hicho, si maneno yangu jamani.
Hivyo kama Tanzania inataka kununua bidhaa kutoka Kenya, hawawezi kutumia SARAFU YA SHILINGI, sababu hii kwenye mkataba wa IMF inafahamika kama ‘LOCAL CURRENCY,’ ambayo inakubalika kote ndani ya Tanzania kama ‘karatasi halali a.k.a fedha halali a.k.a legal tender.’ Lakini hii ni ndani ya Tanzani, inapovuka mpaka kwenda nchi nyingine hii si fedha halali kwa nchi ile, hivyo inabidi ipatikane sarafu ambayo nchi washirika katika biashara watakubaliana kuitumia kama ‘msulihishaji’ katika utaratibu wa ununuzi wa bidhaa, IMF sarafu yenye sifa hii inatambulika kama ‘International Currency a.k.a foreign Exchange a.k.a € a.k.a $.
Hivyo basi serikali ya Tanzani lazima iwe na Dola za kutosha ili kuweza kununua bidhaa na mahitaji yake ya kimataifa kutoka nje, hali kadhalika nchi nyingine yeyote ikitaka kufanya hivyo. Hivyo Tanzania haiwezo kwenda Kenya na mirundi ya dhahabu ili ipate bidhaa kutoka Kenya, dhahabu zimefanywa ni makarasi yasiyo na thamani, na makaratasi yakafanywa kinyume chake, na ikifanya hivyo itakuwa imekiuka mkataba wake na IMF, HIVYO ITAINGIA MATATANI.
Kwa kufanya hivyo IMF inazilazimisha nchi zote zilizo ingia mkataba na yeye ku-demand kila wakati kuwa na sarafu za Dola au Euro ili uchumi wao uweze ‘kukuwa.’ Federal Reserve anacho fanya ni KUPRINTI MAKARATASI HAYO NA KUTULETEA KWA GHARAMA YA UTAJIRI WETU HALISI!!!!!!!!!!!!! HALAFU WAO WANAUCHUKUA UTAJIRI HUO NA KUTUACHIA MAKARATASI YAO.
JAMANI KWANI NA SISI HATUWEZI KUPRINTI HAYO MAKARATASI?
NADHANI MOJ YA HAKI KUBWA AMBAYO BUNGE LA KATIKA LINAWEZA KUWATETENDEA WATANZANI, NI KULIGUSA HILI SUALA LA PESA AU KWA UWAZI ZAIDI BANK vs PEOPLE.
KATIKA KATIBA INAYO TUMIKA SASA, BUNGE HALINA MAMLAKA YEYOTE JUU YA SUALA LA FEDHA, KUANZIA UTENGENEZWAJI WAKE MPAKA KUINGIZWA KWENYE MZUNGUKO. HATA RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA KWA MUJIBU WA KATIBA HIYO HANA MAMALAKA HAYO, SASA JIULIZE YAPO KWA NANI?
USISHANGAE UKIULIZWA HIVYO UKAAMBIWA KUWA JESHI LITACHUKUA NCHI. MH! JAMANI UKISTAAJABU YA MUSSA UTAONA YA FIR’AUN.
Mpango huu wa Kishetani malengo yake makuu ni kuzifanya Sarafu teule kama Dola, Euro, Pound, na za mawakala wengine wa Illuminanti, siku zote kuwa na thamani kubwa na yenye kuendelea kukua dhidi ya sarafu zingine zote duniani, ambazo siku zote zitakuwa kwenye kitanzi cha kuporomoka.
Wanapo utaka utajiri wa nchi yeyote ile, cha kufanya ni kuishusha thamani ya sarafu yake, kinacho fuata ni deni halilipiki, na samani zako ulizoziweka kama hazina zinahamia kwenye mifuko ya Illuminanti
Comments
Post a Comment