Kufikia mwishoni mwa mwaka jana, 2018 China ilikuwa na zaidi ya madaktari milioni 3.61 waliohitimu na ambao wanatoa huduma za afya kwa nchi hiyo yenye idadi kubwa zaidi ya watu duniani.
Kwa wastani, madaktari hao hutibu wagonjwa wapatao bilioni 8.3 kila mwaka, Ma Xiaowei- mkuu wa tume ya kitaifa ya afya alisema kwenye ripoti kila mwezi iliyowasilishwa mbele ya bunge.
Comments
Post a Comment