Rais John Magufuli amebadilisha matumizi ya uwanja wa zamani wa ndege Mbeya kuwa eneo maalum kwa ajili ya wafanyabiashara wandogo
"Wamachinga" na kupendekeza eneo hilo liwe na stendi ya daladala na uboreshaji wa miundombinu.
Rais Magufuli amewaonya viongozi wa mkoa na wilaya kutowabughudhi kwa namna yoyote ile.
Comments
Post a Comment