Mamlaka ya hali ya hewa nchini ya Tanzania yakanusha uwepo wa kimbunga.




 - Yakanusha taarifa zinazojitokeza zikidai kutakuwepo na kimbunga 'Keneth' kuanzia Aprili 26


 - Imesema mgandamizo mdogo wa hewa uliopo bahari ya Hindi bado hauwezi kuleta kimbuka

Comments