Mifupa ya mnyama mkubwa zaidi jamii ya Simba anayekadiriwa kuwepo Afrika Mashariki imegundulika kwenye droo za jengo la maonesho ya taifa nchini Kenya.

No photo description available.

Mifupa ya mnyama mkubwa zaidi jamii ya Simba anayekadiriwa kuwepo Afrika Mashariki zaidi ya miaka milioni 20 iliyopita imegundulika
kwenye droo za jengo la maonesho ya taifa nchini Kenya.
Mnayama huyo amepewa jina la "Simbakubwa kutoka Afrika".

Comments