Nyoka wawili wamfurusha rais wa Liberia George Weah kutoka afisini mwake
Nyoka wamepatikana katika ofisi ya rais wa Liberia George Weah , hatua iliomshinikiza kutoroka katika afisi yake
na kufanya kazi katika afisi ya kibinafsi.
Wafanyikazi wote wametakiwa kutoingia katika ofisi hiyo.
Comments
Post a Comment