Pichani upande wa kulia mwenye miwani raia wa S.Africa ana jinsia mbili yaani Dume-Jike. #Duniayako



Akizungumza na BBC Kipindi cha afya amesema viungo vyake (genetically) yeye ni mwanaume na mashine inafanya kazi vizuri na ana mpenzi wake wa kike.


Amesema Ila muonekano (physically) yeye ni mwanamke Kama anavyoonekana lakini hapati siku za hedhi kila mwezi, anapitia menopause.

Ametokea Kwenye Kipindi hicho na mpenzi wake huyo Pichani kushoto.

Kwa wasiojua kuhusu Dume-Jike na Jike-Dume ni kwamba unakuta ana Chromesomes 3 za jinsia yaani XXY au XYX.

Pia Kuna XXX, XXYY, XXXY, XXXXY.

Kawaida huwa ni XX kwa mwanamke na XY kwa mwanaume.
Na wale wanawake wenye jinsia mbili za kike na mifuko miwili ya uzazi huwa ni XXX na wanaume wenye mashine mbili huwa ni XYY.

XYX kitaalamu ndiye Dume-Jike.
Huyu maumbile yake ya kiume huwa na nguvu ila muonekano wake unaweza kuwa wa kike au wa kiume Na mara nyingi hawana matiti.

XXY kitaalamu ndiye Jike-Dume
Huyu maumbile yake ya kike huwa na nguvu ila muonekano wake unaweza kuwa wa kiume au kike na huwa na matiti makubwa.

Toa maoni yako kisha #SHARE

Comments