Polisi nchini Uganda wamevunja gari la mwanamuziki Bobi Wine na kumkamata alipokuwa akienda kwenye tamasha la muziki la One Love.





Polisi nchini Uganda wamevunja gari la
mwanamuziki Bobi Wine na kumkamata  alipokuwa akienda kwenye tamasha la muziki la One Love.

Rais Yoweri Museveni amaeonya kuwa serikali yake haitaruhusu kamwe muziki kuchanganywa na siasa.

Comments