Mwanamume mmoja nchini Marekani amewapiga risasi na kuwaua watu watatu na kuwajeruhi wengine wawili kwa kuwa wapenzi wa jinsia moja.
Mwanamume mmoja nchini Marekani amewapiga risasi na kuwaua watu watatu na kuwajeruhi wengine wawili kwa kuwa wapenzi wa jinsia moja.
Devon Robinson, 19, kutoka eneo la Detroit, ameshtakiwa kwa mashtaka matatu ya mauaji, na mawili ya kutumia silaha kuwajeruhi watu..
Waathiriwa wote ni wakaazi wa Detroit.
Comments
Post a Comment