Mwenye ujuzi na utaalamu wa kutoa Uchambuzi wa Uchumi wa nchi hii na Duniani kwa Ujumla ni Prof Ibrahim LIPUMBA ni MWADILIFU, MKWELI na MZALENDO wa kweli, Kama tunahitaji TAKWIMU na UCHAMBUZI basi USIKOSE DIAMOND JUBILEE Tarehe 22/6/2019.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya WANAHARAKATI NA WANASIASA, Siasa sio kupinga kila kitu au Kuungamkono kila kitu Siasa ni msingi wa Kujenga maisha ya watu na Taifa Kwa Ujumla na Ukosoaje unapaswa kuzingatia Heshima na kuonyesha njia ya nini Kifanyike. NJOO UPATE SOMO DIAMOND JUBILEE.
Prof LIPUMBA Kafundisha Maprofessor Bingwa wa uchumi DUNIANI katika chuo cha WILLIAMS COLLEGE MAREKANI hana sababu ya Kutoa TAKWIMU za Ujanja Ujanja Kama wanavyofanya baadhi wapinzani wasio na UBOBEZI wa Kiuchumi
Prof LIPUMBA amekuwa mshauri wa umoja wa Mataifa na mashirika mbalimbali pamoja na nchi mbalimbali za Ulaya na Asia ikiwemo na MAREKANI ambapo mbali ya Kuwafundisha Uchumi alikuwa Mshauri wa Uchumi wa Bunge la Marekani Congress.
Prof LIPUMBA ameacha sifa na heshima kubwa aliyonayo DUNIANI na kuja kuwatumikia watanzania huu ndio UZALENDO huu pia ni UZALENDO.
.
.
ASIBAKI MTU NYUMBA TAREHE 22/6/2019 DIAMOND JUBILEE
Comments
Post a Comment