.
Msafara wa viongozi na wabunge wa Cuf kutoka Nanyamba (Mtwara) ziara ya chama katika muendelezo wa kukagua uhai wa chama na uzinduzi wa matawi wamezuiliwa na Jeshi la police na kuplekwa tena central kwa kuhojiwa kufanya mikutano ya chama hadi saa 12
jioni.
ODC Moshi wa Mtwara amesema mda huo hauruhusiwi kufanyika vikao vya chama. Baada ya msafara huo kuzuiliwa kwa masaa kadhaa Viongozi hao wameachiwa na kuambiwa kesho siku ya Ijumaa waripoti katika kituo hicho cha polisi kwa mahojiano zaidi.
lkumbukwe siku mbili nyuma msafara wa viongozi hao ulizuiliwa tena kwa masaa kadhaa.
Mkurugenzi wa mipango taifa Juvicuf Mh. Idd Mkanza amesema anachofanya ODC Moshi ni kutumiwa vibaya na serikali ya ccm. Huku akinukuu kifungu cha sheria amesema.
"Sheria namba tano ya vyama vya siasa na hii iliyofanyiwa marekebisho mwaka huu inatoa ruhusa vyama kufanya shughuli zake za kisiasa ,mikutano na maandamo bila kuvunja sheria" Lakini unaweza kujiuliza nilini vikao vya ndani ya chama vimeanza kupangiwa na serikali muda maalumu wa kumalizika vitendo hivyi havivumiliki kabisa lazima tutafute haki yetu. Amesema
#Duniayako

Comments
Post a Comment