"Chama cha upinzani kinapaswa kubeba agenda za wananchi wote
, kwa sababu
chenyewe kipo nje kinaona mapungufu na maumivu kwa hiyo kinapokuja na
sera yoyote kinabeba agenda ya wananchi wote bila kujali mipaka na
itikadi ya vyama, hivyo kinawasemea mpaka wanaCCM” - Askofu Mwamakula
Comments
Post a Comment