Wakazi wa jimbo la Kigoma Kaskazini walalamikia viongozi waliokuwa wawakilishi wao bungeni kutotimiza ahadi zao. hii imekuja baada ya wananchi hao kuchoka propaganda za viongozi hao. mmoja wa wakazi wa jimbo hilo amesema tulimtegemea Zitto Kabwe atakuwa mkombozi wetu lakini ilikuwa tofauti na mafikilio yetu kwa sababu aliahidi mengi ambayo utekelezaji wake ukawa mgumu. mwisho wa siku akafikia mamuzu ya kukimbia jimbo lake na kubadilishana na CCM.
wakazi wa jimbo hilo wamelalamikia vyombo vya habari kuwa chanzo kukubwa cha kudhofisha maendeleo ya taifa pale wanapotoa taarifa za viongozi kufanya vizuri katika majimbo yao wakati mwingine taarifa hizo zinaletwa pasina tafiti yeyote. jimbo letu liliongozwa na mbunge mahili tulie mwanini lakini ukifika jimbo alilongoza miaka kumi unaweza ukashaa. mpaka leo jimbo letu kero ya maji imekuwa ndiyo wimbo wa taifa mhe zitto aliahidi kutatua kero hiyo ila hakutimiza ahadi yake.
nguvu alizokuwa nazo zitto katika jimbo hili katika uchaguzi wa 2015 hata angesimamisha kivuri chake kingepita lakini ikawa tofauti kutokana na kuondoa uaminifu kwa wananchini wake na hata Mgombea aliYemchagua kugombea Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya ACT wazalendo hakuchaguliwa. mesema mkazi huyo. share
Comments
Post a Comment