Kufuatia ripoti za mashambulizi ya angani yaliyotokea katika maeneo kadhaa kaskazini magharibi mwa Syria mwishoni mwa wiki, Umoja wa Mataifa una wasiwasi sana kuhusu usalama wa raia zaidi ya milioni 3
Kufuatia ripoti za mashambulizi ya angani yaliyotokea katika maeneo
kadhaa kaskazini magharibi mwa Syria mwishoni mwa wiki, Umoja wa Mataifa
una wasiwasi sana kuhusu usalama wa raia zaidi ya milioni 3
katika mkoa huo, nusu yao wakiwa wamehama makwao,msemaji wa UN alisema Jumanne.
Mashambulizi ya angani katika siku chache zilizopita yameripotiwa kugonga mamia ya jamii kote Idlib, Hama, Aleppo na Latakia,Stephane Dujarric msemaji wa Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres alisema.
"Tunaendelea kutoa wito kwa pande zote katika mgogoro kuhakikisha usalama na ustawi wa raia katika uendeshaji wa shughuli za kijeshi na kufuata kwa umakini kanuni za sheria za kibinadamu za kimataifa za utofauti, usawa na tahadhari."
Katika wiki chache zilizopita,jumla ya watu 60,000 wamehama makwao kutokana na uhasama, na kuongeza kwa watu zaidi ya 400,000 ambao walilazimika kuhama makwao mapema mwaka huu, msemaji aliambia mkutano wa kawaida

Comments
Post a Comment