Madhehebu ya Sufii: Wafahamu Waislamu wanaoshambuliwa na wenzao wenye msimamo mkali



Sufii ni moja ya madhehebu ya zamani ya Uislamu. Wao wanatilia mkazo juhudi za ndani za kumcha Mungu na kupuuzia utajiri na anasa za kidunia. Hutumia kasida (nyimbo), kucheza na dhikri kama njia za ibada.
Hata hivyo, Waislamu wenye msimamo mkali wanawaona kama wazushi wa kidini na kuwa wamepotoka. Baadhi yao huwashambulia kwa silaha za moto. Lakini Sufii ni akina nani na wanakabiliana vipi na vitisho dhidi yao?

Comments