Mfuasi wa dini ya kishetani, na aliyekuwa mmoja wa wafufuaji wa ‘NEW AGE
MOVEMENT’ Alice Bailey, katika moja ya kazi zake, zinazo lenga kuuvnja maadili
na kueneza maovu na machafu kwenye jamii alisema hivi.
“IVURUGE SANAA, IFANYE WENDAWAZIMU".Kivipi?
Ruhusu aina nyingine za kazi ya sanaa ambazo zitavuruga na uharibu mitazamo ya watu, sababu sanaa ni lugha ya roho, lugha ya kile kilicho ndani, ambacho kinawekwa bayana kwa michoro, muziki, maagizo n.k. Tizama filamu za leo, sikiliza mashairi ya muziki wa sasa, tizama kazi za michoro, kote huko utaona ni uwendawazimu.
Comments
Post a Comment