Skip to main content
Mkurugenzi kampuni ya ujenzi abanwa na Jafo, aanguka na kuzirai
Mkurugenzi wa kampuni ya Scol Building Contractors Limited ameanguka na
kuzirai mbele ya Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo baada ya kubanwa
kuhusu ucheleweshaji wa ujenzi wa barabara ya Martin Luther hadi Swaswa
mjini Dodoma.
Comments
Post a Comment