Mvua kubwa yaja, kunyesha mikoa 14 Tanzania


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vifupi vya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani na mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Tanga , Mbeya, Songwe, Rukwa, Iringa, Njombe, Ruvuma na Zanzibar.

Comments