Tabia Hatarishi Zinazohusisana Na Maambukizi Ya VVU
1)Mapenzi yasiyo salama.
Kugusana na majimaji ya ukeni / uumeni ambayo yanakuwa na VVU
2)Matumizi ya dawa za kulevya na pombe.
Yanakuondolea nguvu ya kuweza kuchagua kati ya baya au zuri.
3)Wapenzi wengi
Idadi kubwa ya wapenzi hupelekea idadi kubwa ya uwezekano wa kuambukizwa VVU
4)Kutokuwa mwaminifu.
Kuhatarisha maisha yako na ya mpenzi wako.
5)Kulipa kisasi kwa kutofanyiwa uaminifu.
Hii si dawabali huongeza uwezekano wa kuleta virusi katika mahusiano yenu

Comments
Post a Comment