"Ukitaka kufuta mfumo wa vyama vingi maana yake unamfuta Baba wa Taifa, Baba wa Taifa sio wa Chama fulani, Baba wa taifa ni kwa Watanzania wote, hivyo kwa uelewa wangu siamini serikali ya awamu ya tano pamoja na wapambe nuksi kusema mfumo wa vyama vingi ufutwe, siamini Rais John Magufuli atafuta mfumo wa vyama vingi"-John Shibuda - Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa.
Comments
Post a Comment