UKIWA NA TABIYA HIZIπ MUME ATAKUKIMBIYA BILA YA KUTARAJIA AMECHOSHWA NA TABIA YA UCHAFU.
ππ *CHINI YA MAZIWA*ππ
```Chini ya maziwa huwa kuna uchafu fulani unakaa pale hususan kwa wanawake wenye matiti makubwa au yaliyolala.
Jitahid unapooga kuyainua na kuyafanyia sasambu kwa kuyasafisha na kutoa mapofu yote yaliganda.

*πKITOVUπ*
```Ni kiungo kidogo lakin kinatoa harufu na kufanya taka nyeusi ikiwa hakitasafishwa vizuri.

π *KWAPA*π
```Mwanamke mazingira bibi sio kunuka kikwapaa!!
Kwapa ni sehem nyengine ambayo inaleta maudhi ikiwa haitasafishwa na kushughulikiwa. Ikiwa una unaja jasho kali tumia ndimu au shabu kwa ajili ya kukata harufu.
Jisafishe kwa kuondoa nywele zilokuwepo kwapani , pia tumia perfume , spray, dodarate, haliud ili unukie vizur uwapo na D wakoo❤.

π *KINYWAA*π
```Kinywa ni sehem nyengine ya mwil wa binaadam ambacho kinahitaji usafi any time.
Sio bwana anarud anataka kupiga romance kinywa kinanuka km yai visaa loooh aibuuu!!
Ujue muda wa mumeo kurud kazin ili ujinadhifishe.
Kwan mtume Muhammad sw anasema "Lau ningekuwa siwaonei tabu umma wangu ningewaamrisha kupiga mswak kila kipind cha sala.

π *UKE*π
```Uke ndio kila kitu katika ndoa!!
Ukifel hapo shogaang utabak kuhesab talaka!!
Uke unahitaji matunzo kwanza kujisafisha hadi ndan kwa kutumia kidole chako cha kati cha mkono wa kushoto mpk unahakikisha kidole hakiingii tena hapo utakuwa umesafika.
Then nyoa uke wako kwa ustad ili usifanye vipele!
Tumia miski nyeupe kwa kujisafisha pamoja na kuongeza ashki ya t.ndoa.
Jifukize kwa kutumia udi na kujitia vikuba.

♦ *MASKIO*♦
```Safisha maskio yako nje na ndani kila mara ! kwa kutumia cotton
Sio bwana anataka kutia ulimi anakuta tende imegandaa looh mhh poohh.

π *π£MIGUUπ*
```Miguu pia inasafishwa jamani kwa kusugua vizur na kutoa takataka zilizoganda katika kuchaaa
Tumia jiwe maalum kwa kusugua miguu ucje ukampara mwenzio ukamtoa dam kwa kea zako!

Nawatakia kila la kher vipenzi```
πΏπΏπΏπΏπΏπΏπΏ
*WANAWAKE DAWA NA NDOA ZAO*
πΏπΏπΏπΏπΏπΏπΏ
*WANAWAKE DAWA NA NDOA ZAO*
Comments
Post a Comment