viongozi wa cuf wamjia juu maalim seif wadai seif ndiyo aliyekula pesa za mayatima na wajane


viongozi wa chama cha wananchi cuf wamjia juu maalim seif. watoa siri iliyofichwa miaka mingi wamesema maalim seifu hana huruma hata kidogo alidiliki kula pesa za mayatima na zawajane
waliofiwa mwaka 2001 zanzibari. pesa hizo zilitolewa na wahisani kutoka tanznia bara chaajabu pesa hizo hazikufika kwa walengwa mpaka leo na seif ndiyo alipokea pesa hizo. viongozi wachama walihoji na kuomba pesa ili ziwafikie walengwa lakini juhudi zao zikagonga mwamba kutokana na ubabe wa seif. kutokana na kuhoji sana hizi pesa ilifikia hatua baadhi yetu walitishiwa kufukuzwa chama. viongozi hao wamesema tumevumilia lakini tumeshindwa nafsi zinatusuta nafsi zinatusuta ni wakati wa wazanzibari kufahamu ukweli seif ni kiongozi wa aina gani.

seifu ni kama panya sehemu safi hakai anapenda sehemu iliyokuwa chafu. wamesema

Comments