Wafungwa
wapatao 12 walipoteza maisha yao na wengine 13 kujeruhiwa
jana (Jumanne) nchini Merikani katika shambulizi la risasi kati yao kwenye gereza la La Joyita karibu na mji wa Panama, naibu polisi wa Panama Alexis Munoz alisema.
Kwa mujibu wa Alexis, shambulizi hilo lilitokea ndani ya gereza hilo, ambalo limeathiriwa na kufurika kwa wafungwa na ubishi kati ya genge. Bunduki kadhaa zilikamatwa baada ya shambulizi hilo.

Comments
Post a Comment