Wanamgambo
wapatao 25 walipoteza maisha yao katika kipindi cha masaa ishirini na
nne yaliyopita nchini Afganistan katika mashambulizi ya wanajeshi katika
wilaya ya Shah Wali Kot kusini mwa nchi hiyo, kauli ya wanajeshi nchini
humo ilisema.
Bila kutoa maelezo zaidi ya idadi ya wanajeshi waliojeruhiwa, kauli hiyo ilibaini kuwa mashambulizi hayo yataendelea hadi wanamgambo wote katika eneo hilo watoroshwe. Wanamgambo wa Taliban hawajatoa maoni yao kwa sasa.

Comments
Post a Comment