Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP ) Augustine Mrema ameitaka Serikali chini ya Rais Magufuli imlipe Tsh Bilioni mbili kama fidia ya kesi alizowahi kubambikiwa katika utawala wa awamu ya tatu.
•
"Nimemuandikia barua Rais Magufuli kutaka Serikali inilipe Tsh. Bilioni mbili kama fidia ya kesi mbalimbali nilizowahi kubambikiwa chini ya Serikali ya
CCM ya awamu ya 3 ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, wasiponifidia nitawashtaki kwa Watanzania"-MREMA.
•
“Serikali imesema kumbambikia kesi Mtu ni kosa la jinai na wahusika wanakamatwa na kufikishwa Mahakamani ila muathirika anatakiwa kulipwa fidia, namuomba Rais Magufuli nilipwe fidia ya Tsh. Billion mbili kwa niaba ya Serikali, ikiwezekana nikutane na Rais tuongee vizuri “-MREMA
#MillardAyoUPDAT

Comments
Post a Comment