HOMA YA WATANI WA JADI: Hatimaye mashabiki watatu wa Yanga waliosafiri kwa baiskeli wamewasili dar.

HOMA YA WATANI WA JADI: Hatimaye mashabiki watatu wa Yanga waliosafiri kwa baiskeli kutoka mkoani Mtwara wamewasili leo Jijini Dar es Salaam tayari kuipa nguvu timu yao kwenye mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Jumamosi tarehe 4, 2020 kwenye Uwanja wa Taifa.

Safari hiyo ilianza Desemba 28, 2019 , hivyo wametumia takriban siku tano njiani.

Je, unadhani safari ya #wananchi hawa inaashiria nini Januari 4?

#WataniWaJadi #SimbaVsYanga

Comments