Kumalizika kwa hatua ya usitishaji majaribio ya nyuklia DPRK kwanitia hofu:Guterres



Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo amesema ana wasiwasi mkubwa na kumalizika kwa hatua ya usitishaji wa majaribio ya makombora ya nyuklia nchini Jamuhuria ya watu wa Korea au DPRK

Comments