Leo Katika Historia

Leo Katika Historia
Leo Katika Historia
07.01.2020 ~ 10.01.2020
Januri 7 mwaka  1946  hatua ya kwanza kwa Uturuki kaunza mfumo wa bunge na vyama vingi.
Januri 7 mwaka  1946, Uturuki ilipiga hatua yake ya kwanza katika baraza lake la bunge  katika kipindi cha kwanza cha Jamhuri. Waziri mkuu wa zamani wa Uturuki Celal Bayar  ambae aliondoka katika chama cha CHP, Adnan Menderes, Fuat Koprulu na Refik Koraltan  waliunda chama demokrasia. Katika kongamano lililofanyika kwa muda wa siku 3,  Celal Bayar alichaguliwa kuwa katibu mkuu wa chama hicho. Chama cha Demokrasia kilishinda katika uchaguzi mwa Mei  14 mwaka  1950. Ndio ilikuwa mwisho wa utawala wa chama kimoja ambacho ilikuwa CHP. Utawala wa CHP kama chama kimoja ulichukuwa muda wa miaka  27.
Januari 7 mwaka  1979, jeshi la Viet Nam ambalo lililkuwa likikabiliana na utawala wa Khmer nchini Cambodia kwa miaka minne, lilifaulu kuingia katika mji mkuu wa Kambodia ambo ni Phnom Penh.  Kiongozi wa Khmer kwa jina la Pol Pot  aliondoka mjini humo.
 Vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianza  kati ya serikali  iliokuwa ikiungwa mkono na Vietnam na Khrem. Vita  hivyo vilimalizikwa mwaka  1999.

Comments