Leo Katika Historia
Leo Katika Historia
10.01.2020 ~ 11.01.2020
Januari 10 mwaka 1920 Shirikishao la Umoja wa Mataifa liliundwa kwa mara yake ya kwanza nchini Uswisi. Shirikisho hilo liliundwa kwa ajili ya kuzuia uwezekano wa kutokea kwa mapigano baada ya kumalizika kwa vita vya kwanza vya dunia. Hali hiyo iliplekea kuibuka kwa serikali za kibabe baran Ulaya kutokana na ukosefu wa vikwazo kwa wanaokiukwa makubaliano. Shirikisho hilo lilibadilishwa mwaka 1946 na kuwa IUmoja wa Mataifa.
Januari 10 mwaka 1921, mapigano na uvamizi uliotanagwa na Ugiriki kwa kuvamia Uturuki Januri 6, ilikuwa ndio mwisho wake na vikosi vyake kwa kushambulia jeshi la IUturuki katika eneo la İnönü. Jeshi la Ugiriki lilifualu kupenya katika jeshi lililokuwa likiongozwa na kanali Ismet İnönü, Jeshi la Ugiriki lililazimika kurudi nyuma na kuondoka. Matukio hayo ni mongoni mwa matukio ambayo yanaonesha ukubwa wa historia ya Uturuki kwa ushindi wa İnönü.
Mapigano ya kwanza ya İnönü ndio ushindi wa kwanza wa jeshi ambalo liliundwa na bunge la Uturuki chini ya uongozi wa Baba wa Taifa la Uturuki Mustafa Kemal Pasha.
Januari 10 mwaka 2009, mtunzi mashuhuri wa mashahiri Nazim Hikmet Ran alinyanganywa uraia wa Uturuki mwaka 1951, alirejeshewa uraia wake miaka 46 baada ya ufariki kwake kwa uamuzi uliochapishwa katika jarida rasmi.
Comments
Post a Comment