Leo Katika Historia

Leo Katika Historia
Leo Katika Historia
03.01.2020 ~ 11.01.2020

Januari 3 mwaka  1961, Marelani  alisitisha ushirikiano wake wa kidiploamasia na Cuba  baada ya jeshi la komunisti liliokuwa likiongozwa na Fidel Castro kuchukuwa madaraka mjini Lahavana.

Januari 3 mwaka  1521 Martin Luther alianzisha vuguvugu la mabadiliko dhidi ya uongozi wa kanisa katoliki na kuhoji kuhusu uongozi wa kanisa barani Ulaya. Luther alitengwa na kanisa  na Papa Leon wa Kumi. Luther alialikwa mjini Roma kutetea hoa zake. Martin Luther alipinga Kanisa katoliki kwa kutafsiri biblia kwa kijerumani.

Januari 3  mwaka  1961, Marekani ilisitisha ushirikiano wake na Cuba baada ya Fidel Castro kuchukuwa madaraka.

Januri 3 mwaka  1990,  baada ya kuongolewa madarakani  rais wa PanamaManuel Noriega  alihifadhiwa katika ubalozi wa Panama Vatican kwa muda wa siku 10.  Alijisalimisha kwa jeshi la Marekani. Noriga alipelekwa mahakamani nchini Marekani na kuhukumiwa kifungo.  Noriega  alifungwa nchini Ufaransa na baadae kukabidhiwa mamlaka husika nchini Panama. Noriega alifariki mwaka  2017.

Januari 3 mwaka  2004, ndege ya shirika la binafsi la Misri lilipata hitilafu za kiufundi ikiwa juu ya bahari  Nyekundu ikielekea Sharm al Sheikh ikitokea nchini Ufaransa, watu 148 walifariki katika jali hiyo.
 

Comments