-
Jaji huko Brazil ameamuru Netflix iache kuonyesha filamu "ya kufuru" ambayo inaonyesha Yesu kama Shoga
-
Jaji Benedicto Abicair alitoa uamuzi huo katika kujibu ombi la Shirika la Katoliki la Brazil ambalo lilisema kwamba, "filamu ya The Temptation Of Christ imeumiza heshima ya mamilioni ya Wakatoliki"
-
Uamuzi huo wa Mahakama ni halali hadi Mahakama nyingine itoe amri nyingine tofauti na hiyo
-
Filamu inaonyesha Yesu anarudi nyumbani siku anayotimiza miaka 30 na anaonesha ni mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja
Comments
Post a Comment