Papa Francis aomba radhi kwa kumpiga kibao Mwanamke aliyemvuta mkono wakati akisalimia watu Usiku wa Mwaka Mpango


  •  TKiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis (83) jana ameomba radhi kwa kupiga kibao Mwanamke aliyemvuta mkono wakati akisalimia watu katika Usiku wa Mwaka Mpya

Kabla ya Misa ya Mwaka Mpya, Papa amesema, "Tunapoteza uvumilivu muda mwingine. Imetokea kwangu. Naomba msamaha kwa mfano mbaya nilioutoa jana."

Kiongozi huyo aliendelea na kusalimia watu baada ya tukio hilo huku akiweka umbali fulani baina yake na Waumini hao walikowa wamekusanyika katika eneo la 'Saint Peter's square

Comments