Polisi Mkoani Shinyanga wanamshikilia Flora Adamu mwenye umri wa miaka 23 kwa tuhuma za kumkata Mumewe sehemu za siri
Polisi Mkoani Shinyanga wanamshikilia Flora Adamu mwenye umri wa miaka 23 kwa tuhuma za kumkata Mumewe sehemu za siri akimtuhumu kuchepuka kwenye ndoa yao.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Deborah Magiligimba amesema Florah alimvizia Mumewe ambae ni Askari Polisi PC Kazimir akiwa amelala na kumkata uume wake kwa kitu chenye ncha kali na kumjeruhi vibaya.
_
"Baada ya tukio PC Kazimir alikimbizwa Hospitali na kulazwa siku mbili kisha kuruhusiwa na yupo nyumbani anauguza kidonda, tunamshikilia Florah na uchunguzi ukikamilika atafikishwa Mahakamani"- RPC Shinyanga
#MillardAyoUPDATES

Comments
Post a Comment