RIPOTI: MAKADIRIO YA UKUAJI WA UCHUMI WA DUNIA NI 2.5% MWAKA 2020

RIPOTI: MAKADIRIO YA UKUAJI WA UCHUMI WA DUNIA NI 2.5% MWAKA 2020

Benki ya Dunia imesema Ukuaji wa Uchumi wa Dunia kwa 2020 unakadiriwa kufikia asilimia 2.5, ikilinganishwa na asilimia 2.4 ya 2019, licha ya kuendelea kuwepo kwa Hatari ya Kushuka
-
Ripoti hiyo mpya kuhusu mustakabali wa Uchumi wa Dunia inasema, ukuaji katika masoko yanayoibuka na nchi zinazoendelea unatarajiwa kufikia asilimia 4.1 mwaka 2020 kutoka asilimia 3.5 ya mwaka 2019
-
Ukuaji katika nchi zilizoendelea unakadiriwa kushuka hadi kufikia asilimia 1.4 kwa mwaka 2020 ikilinganishwa na asilimia 1.6 ya mwaka 2019
-
Aidha, Uchumi wa China unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.9 ukipungua kutoka asilimia 6.1 ya mwaka 2019

Comments