SAMSUNG NA STAR LAB ZAFANIKIWA KUTENGENEZA BINADAMU WASIO HALISI
-
Kampuni ya Samsung kwa kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasio asilia ambao wanafanana na binadamu katika miili yao kama sura na muonekano, kuonyesha hisia, tabia na akili na wana uwezo wa kuzungumza kama binadamu wa kawaida
-
Wamepewa majina ya NEON, sio Roboti bali wao wataweza kujisimamia wenyewe kwa kila kitu na kufanya kazi mbalimbali kama vile kusoma taarifa ya habari, kuwa mwalimu, mshauri wa masuala ya fedha, msimamizi wa mazoezi (gym master), wasemaji wa mtu au kampuni lakini pia wanaweza kuwa waigizaji
-
Mtaalamu kutoka Star Lab amesema, hawana lengo la kuondoa ajira za binadamu wa kawaida ila lengo lao ni kuboresha zaidi maingiliano ya kibiashara baina ya mtoa huduma na mteja
-
Walitambulishwa (NEON) wiki hii na watapatikana Dunia nzima kwa ajili ya huduma mbalimbali

Comments
Post a Comment