SULTAN QABOOS WA OMAN AFARIKI DUNIA
-
Sultan wa Oman, Qaboos bin Said Al Said amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79
-
Kuna taarifa kuwa, Mfalme huyo ambaye ametawala kwa muda mrefu zaidi katika Falme za Kiarabu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani
-
Taarifa iliyotolewa na Mahakama ya Kifalme imesema kuwa, Sultan Qaboos amefariki siku ya Ijumaa. Siku tatu za maombolezo ya kitaifa zimetangazwa
-
Kwa mujibu wa taratibu, Baraza la Familia ya Kifalme linatakiwa kumtangaza mrithi mpya ndani ya siku tatu
-
Binamu watatu wa Mfalme; Haitham bin Tariq Al Said, Asaad bin Tariq Al Said na Shihab bin Tariq Al Said wanapewa nafasi kubwa ya kurithi wadhifa huo
-
Sultan Qaboos bin Said Al Said alikuwa hajaoa na hakuacha wosia

Comments
Post a Comment