TRUMP MRITHI WA MFALME OBAMA

TRUMP MRITHI WA MFALME OBAMA. 


Tangu Marekani ikikalie kiti hicho cha enzi cha dunia, advertise ya kwanza ni Japan, Hiroshima, na dunia nzima ilijua Malkia mpya ameingia kwenye kiti cha enzi, na tangu hapo dunia haijajua jema lolote kutoka Washington.
Kama wanavyo sema wahenge ‘ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga’ Exit ya Washington na kiti chake cha enzi ni ‘another Hiroshima’, WWIII.



Marekani moja kwa moja, au kupitia kwa, imeigeuza dunia yote kuwa ni uwanja wa vita, baada ya 9/11 ambayo ilipigwa na utawala wa Bush mwenyewe, sehemu ya kupigania vita imekuwa haitoshi kwenye uso wa dunia, vita moja baada ya nyingine na hakuna dalili ya vita hivyo kuisha leo wala kesho.

Vita ni biashara, lakini pia vita inaihakikishia Marekani uhakika wa kuendelea kukalia kiti cha enzi, ni nani kati ya Trump na Hillary anaweza kuendelea na njia hiyo.
Mpango wa Washington ulikuwa ni kuzivamia nchi saba, yaani Iraq, halafu Syria, Lebanon, Libya, Somalia, Sudan halafu tunamalizia na, Iran

Kwenye  hizo nchi saba zimeshaondoka tatu, imebaki moja ambazo tatu kati ya hizo ziko kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, Iran ndiyo hot cake, haijaguswa, na malkia Clinton aliesema katika kampeni zake yupo tayari kuitandika Iran ikibidi.
Sasa tunaona trump anakamilisha kauli ya Clinton 

Hii kauli ilimpa sana nguvu Clinton katika kampeni zake na sasa Trump anatumia hili ili apate kurudisha imani kwa mabwana wakubwa kama alivyo fanya Obama kumuua Osama feki. 

Comments