Uingereza imelaani mashambulizi ya Iran katika Kambi za Kijeshi nchini Iraq ambazo zinahifadhi Muungano wa Kijeshi unaoongozwa na Marekani, wakiwemo wanajeshi wa Uingereza
-
Katibu wa Mambo ya nje wa Uingereza, Dominic Raab amesema "Tunalaani shambulio hili kwa kuwa Kambi hii ya Iraq ni Kambi ya Ushirikiano na vikosi vya Uingereza vipo"
-
Kauli hii imekuja baada ya Iran kurusha makombora kadhaa kulenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Ain al-Asad
Comments
Post a Comment