UKATILI WA KINGONO IRINGA: WATOTO 404 WAATHIRIKA MWAKA 2019
-
Kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019, Mkoa wa Iringa umekuwa na matukio takriban 404 ya vitendo ya ukatili wa kingono kwa watoto -
Afisa Maendeleo ya Jamii katika Ofisi ya Mkoa, Saida Mgeni amesema Mkoa huo unakabiliwa na matatizo mbalimbali na umekuwa ukiongoza katika masuala yasiyofaaa katika jamii ikiwemo vitendo vya ukatili wa kijinsia
Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, ukatili dhidi ya watoto unaonekana kuota mizizi huku Wanaharakati wa Masuala ya Jinsia na Watoto nchini wakikiri kuwa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 inachochea unyanyasaji kwa kiwango fulani
Naibu Waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile amezitaka Kamati za Malezi ya Mtoto Mkoani Iringa na nchi nzima kuhakikisha wanatoa taarifa za vitendo hivyo na sio kumalizana kifamilia na watuhumiwa. #tanzania360

Comments
Post a Comment