2 Januari 2020
Leo tarehe pili mwaka 2020, umeshuhudiwa uzinduzi wa mkakati wa Umoja wa Mataifa wa majadiliano makubwa zaidi ya kimataifa kuhusu mstakabali wa dunia. Ni majadiliano makubwa ya pamoja kuhusu jukumu la ushirikiano wa kimataifa katika kujenga mstakabali bora kwa wote. Mpango huo utashuhudia Umoja wa Mataifa ukichochea majadiliano katika mwaka huu mpya wote wa 2020 kwenye mazingira tofauti kote duniani
Nilivutiwa na ndege na nikasema bila shaka nataka kuwa rubani-Mkimbizi Maya na Douglas
Nilivutiwa na ndege na nikasema bila shaka nataka kuwa rubani-Mkimbizi Maya na Douglas
Comments
Post a Comment