Rais Cyrill Ramaphosa ametangaza siku 21 za wananchi wote kujifungia ndani kuanzia usiku wa Machi 26, 2020. Watakosimamia suala hilo ni ldara ya Maafa ya nchi
Kujifungia huko hakutawahusu watu wa Idara ya Majanga, Polisi na Watumishi wa Afya. #duniayako
Comments
Post a Comment