#CORONAVIRUS KENYA: Wizara ya Afya imethibitisha ongezeko la wagonjwa



#CORONAVIRUS KENYA: Wizara ya Afya imethibitisha ongezeko la wagonjwa wengine 9 wenye maambukizi ya virusi vya #COVID19 na kupelekea idadi ya wagonjwa kufikia 25 nchini humo

Wagonjwa hao wamepatikana katika maeneo ya Nairobi, Mombasa, Kwale and Kilifi



Comments