IRAN: #CORONA NI SILAHA YA MAREKANI KUWADHOOFISHA MAADUI ZAKE
Kiongozi wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, kwasababu #COVID19 ni silaha ya kibaiolojia iliyoundwa na Marekani ili kuyadhoofisha mataifa yanayoshindana naye ikiwemo China na Iran
Comments
Post a Comment