UGANDA: wataanzania wamerudishwa nyumbani chini ya usimamizi wa Polisi



Wafanyabiashara tisa wa Tanzania wamerudishwa nyumbani chini ya usimamizi wa Polisi baada ya kuingia Uganda wakati Rais Museveni amepiga marufuku Raia wa Nchi nyingine kuingia  nchini humo ili kujikinga na corona>>“Waliingia Uganda kupitia Bandari ya Mwanza kwa kutumia MV Upendo”


“Tumewarudisha Tanzania, wafanyabiashara tisa wa Nchi hiyo kwa kutelekeza agizo la Rais Museveni la kuhakikisha mipaka yetu inalindwa na hakuna mgeni anaingia kutoka nje iwe kwa miguu,baiskeli au vyombo vya moto, mipaka yote ina ulinzi mkubwa”-Fred Enanga,Msemaji wa Polisi Uganda

Comments