WHO: MLIPUKO WA #CORONAVIRUS UNAZIDI KUSHIKA KASI



Ilichukua siku 67 kwa Maambukizi kufika 100,000 lakini imechukua siku 11 kufika 200,000 na siku 4 kufika 300,000

Mataifa yametakiwa kuchukua tahadhari zaidi ili kukabiliana na maambukizi

Comments