Baba kanitoa bikra

NAOMBA ISOME HII NA UNISHAURI KITU TAFADHALI 🙏

Simulizi ya Kweli yenye Majonzi

Inaletwa na Mimi ZUWENA AL RAHUL

       KIPANDE CHA KWANZA



Mimi ni msichana wa miaka 18 ninasoma kidato cha sita, Katika Ulimwengu huu nina Mama pekee lakini Baba sina kwa sababu Baba yangu alishadangulia mbele ya haki .

Sikubahatika hata kuhifadhi kumbukumbu ya muonekano wa Baba yangu kwani Mama aliniambia Baba alikufa wakati nikiwa na miezi mitatu pekee , Picha ya Baba ndio faraja kwangu japo natamani nami ningelikuwa na Baba nisingekutana na Matatizo haya yaliyonikuta .

Nakumbuka nyuma kidogo nilipokuwa na miaka 15 Mama aliolewa na Mwanaume mmoja hivi mtu mzima kidogo , Yule Baba aliyemuoa Mama alikuwa mfanyabiashara na mwenye pesa kiasi japo sio nyingi sana, Baba yule alipomuoa Mama basi alituchukua tukaenda kuishi kwake .

Mwaka mmoja mbele nikiwa na miaka 16 Baba alimfundisha Mama kufanya biashara za nje ya nchi kwahiyo wakawa wanapishana Mama akienda Nje ya nchi Baba anabaki nyumbani , Baba akienda nje ya nchi Mama anabaki Nyumbani hayo ndio yalikuwa mazingira ya nyumbani kwetu .

Siku moja majira ya jioni wakati Mama yupo nje ya nchi nilibaki na Baba nyumbani, siku hiyo ilikuwa siku ya ijumapili kwahiyo nilikuwa chumbani kwangu najisomea baada ya kumaliza kupika chakula cha usiku, Wakati najisomea nilimuona Baba anaingia chumbani kwangu bila kupiga hodi akaikaa karibu yangu kwa bahati nilikuwa nimevaa kanga tu kwa sababu nilitaka kuoga baada ya kujisomea na nilikuwa na Uhuru kwakua nilikuwa chumbani kwangu .

Nilijisikia aibu sana nikahitaji kujifunika shuka cha ajabu Baba aliniambia : Usiogope binti yangu mimi ni Baba yako wewe endelea kujisomea nimekuja kukuambia kuwa Mama yako anasema anakuja kesho kutwa na ameniambia nikuletee simu hii muda wowote atakupigia sawa ?

Niliitika kwa kutikisa kichwa , Baba akahamisha macho akanitazama kifuani nilipoona macho ya Baba yapo katika kifua changu niliamua kujifunika vizuri Baba akaniambia : Hebu ngoja hiki ni nini ?

Wakati huo Baba alikuwa ananyosha mkono katika kifua changu sikuhisi kitu kibaya chochote lakini sikuweza kuamini Baba alinishika titi la kulia akalibonyeza kidogo nilisisimka mno nikarudi nyuma nikiwa na woga mkubwa mno , Baba alitoa mkono wake kisha akaniambia : Umejaliwa matiti mazuri binti yangu kwa sasa umekuwa mkubwa hivyo jichunge na wavulana kwani watakutamani sana .

Baada ya maneno hayo Baba alitoka nje niliogopa sana mapigo ya moyo yalipiga kwa kasi kubwa muda huo huo Simu iliita nikaongea na Mama na sikuhitaji kumficha nilimueleza Mama kila kitu alichonifanyia Baba, Lakini Mama alinijibu kuwa : Mzoee ndio alivyo Baba yako anapenda sana utani ondoa wasiwasi ni Baba yako haweza kufanya chochote kibaya kwako .

Nilifuata Maneno ya Mama , Usiku ulipoingia Baba alirudi akiwa na chupa ya Juice ya Embe akasema leo tutatumia Juice ile wakati wa chakula . Muda ulipofika niliandaa chakula kisha nikamkaribisha Baba tukala na tukanywa na juice ile ya Embe lakini wakati nakula nilisikia kizunguzungu kikali nikaishiwa nguvu , Sikumbuki kilitokea nini lakini nilijikuta nipo juu ya kitanda changu na nilikuwa na nguo zangu nilizokuwa nazo jana usiku . Niliangalia saa nikagundua yalikuwa majira ya Asubuhi , nilijiuliza Jana nilikutwa na nini lakini sikuwa na kumbukumbu yeyote kuchwani mwangu , Nilipotaka kushusha miguu ili nijiandae niende shule nilistuka kusikia maumivu makali toka katika nyonga pamoja na sehemu zangu za siri niliogopa sana nikaingia chooni nikavua nguo zangu nikakuta damu nyingi katika chupi yangu .

Nilijiuliza maswali mengi nikaoga nikabadili nguo zangu nikaenda hospital kabla ya kwenda shule nilipofika Hospital nilimueleza Daktari hali iliyonikuta Daktari akaniuliza : Una mpenzi ?

Nilimjibu sina , Akacheka na kuniambia : Mjinga wewe yaani umefanya mapenzi na mpenzi wako na amekutoa Bikra yako alafu unakuja Hospital kutafuta nini au uliambiwa kuna dawa ya kurudisha Bikra ? Toka nje pumbafu watoto wadogo mnakuwa Malaya shenzi kabisa tokaa .

Daktari yule alinifukuza kama Mbwa roho iliniuma sana nilitoka nje nikiwa na maumivu makali sana nikashindwa kutembea nikapumzika nje ya Hospital wakati nipo nje nilikuwa na maumivu makali mno kwa kuambiwa nimefanya mapenzi kibaya zaidi Mimi sio Bikra tena niliwaza nani ameitoa Bikra yangu na niliwaza nitamwambia nini Mama yangu kibaya zaidi Mama huwa ananipeleka Hospital kunipimisha kama bado sijafanya Mapenzi 😢

Nilirudi nyumbani nikiwa na mawazo makubwa nilipofika nyumbani nilistuka baada ya kumkuta Mama yupo nyumbani na Baba cha Ajabu Mama aliniangalia kwa hasira mno kisha akaniambia : Hayo ndio masomo uliyosomea Nasra ?

Nilishindwa nimjibu nini Mama lakini nilijikaza nikajibu : Kwanini wasema hivyo Mama yangu ?

Mama alinisogelea kisha akaniambia : Bikra yako na heshima yako kama msichana ipo wapi Nasra ?

Nilitetemeka mno nikajiuliza Mama kajuaje kama mimi sio Bikra tena nilimtazama Baba , Baba akanitazama na kutabasamu nilihisi Baba atakuwa anajua ukweli kwa mambo yaliyonitokea  wakati najiuliza Mama alinishika mkono akaniuliza : Umefanya Mapenzi Nasra ?

Nilibaki nimeduwaa ....

Leo tuishia hapa msomaji wangu simulizi hii ni ndefu kidogo kama unahitaji kuisoma yote basi naomba #SHARE hadithi hii kisha #LIKE na #COMMENT nitaileta haraka sana 🙏

Like page hii ili uisome yote basi mwisho

Comments