Leo tunaangalia namna Oshoga unavyo ingizwa kwenye jamii.
HUJUI NI MWANAME AU MWANAMKE
Mpango wa awali wa kuhalalisha Ushoga ulianza kwenye miaka ya 1900 ambapo ushoga ulitambulika kama ni ‘ugonjwa’ kama ulivyo ugonjwa mwingine wowote.
Kisha baada ya hapo kichwa che shetani, yaani wabeba agenda za kishetani dhidi ya ulimwengu, wakaja na kazi ya maandishi na propaganda juu ya kuwepo kwa ‘vimelea’ au ‘hali ya kupelekea’ ushoga kwa vijana wengi wa Kimarekani na Ulaya.
Tafiti huru za kisayansi, kitabibu na maumbile hazijathibitisha juu ya kuwepo kwa vitu hivyo wanavyo viita vimelea vya Ushoga. Kama ilivyo ada ya adui yetu, kupitia kwa Kinara mwingine wa Illuminanti John D Rockefeller, fedha zilimiminwa kwenye bomba hilo la kampeni, na taarifa zisizo na utafiti wowote, zisizo na taarifa zozote za kisayansi, lakini zilizo beba dhana na mawazo ya kufikirika na kughushi zikamiminwa kwenye masikio na macho ya watu kana kwamba ni ‘ukweli wa msingi’ na hivyo kuanza kuyarubuni fikra na mawazo ya watu katika kulitazama jambo hili la kishetani; Ushoga.
Marundo hayo ya fedha za Rockeffeler yakafadhili, vikundi vya watu, watu mmoja, mmoja, taasisi, wasomi wa kununulika, na kuchapisha pamoja na kusambaza kazi za watu hao zinazo ukingia kifua Ushoga kwamba upewe nafasi katika jamii. Mfano wa kazi hizo ni ile ya Alfred Charles Kinsey (1894-1956) zilizo kwenda kwa jina la, Sexual Behavior in the Human Male (1948) and Sexual Behavior in the Human Female (1953).
USHOGA NI UGONJWA WA AKILI
Mpaka miaka ya 1950 wana-Saikatrik (Psychiatry) walikuwa wakitambua kwamba ushoga si tatizo la Kibaiolojia bali zaidi ni tatizo la Kiakili. Hivyo tatizo hilo la kiakili kwenye masuala ya ngono yakampelekea mtu kuwa na tabia na hulka hizo za kishoga. Na unapo zungumzia kuwa ni TABIA, utaona kuwa moja kwa moja, tabia aihusiano na chochote ispokuwa AKILI (Mind Set).
Hivyo wana Saikatriki waliona ni SIYO tatizo la KIMAUMBILE bali KIAKILI, lakini si hivyo tu, waliona pia ni tatizo linaloweza kutibika kama yanavyo tibiwa maradhi na matatizo mengine. Huu ndiyo ulikuwa msimamo wa watu wa Ulaya juu ya Ushoga mpaka kwenye miaka 1950.
NI VITA DHIDI YA FAMILIA YAKO
Kisha shetani akaingia na mkononi ana marundo ya fedha za Rockeffeller na nyuma yake wapo mitume wa kishetani ambao watatumia kila mbinu na kila hila kuhubiri juu ya Ushoga, kwamba sasa ushoga SIYO ugojwa wa AKILI bali ni MAUMBILE. Na mitume hawa si madaktari bali wanasiasa, wanamaterilisitk, wasomi wa kununuliwa, viongozi wa dini wenye matatizo hayo ya akili n.k. Mambo yakapinduliwa, JUU CHINI, CHINI JUU.
Wanaharakati hao wakununulika na wengine wote wanao kuja na sura tofauti ila maneno yao yakawa ni; Ushoga si ugonjwa, ushoga ni haki katika haki ya binamu, ushoga ni jambo linalo faa, ushoga ni uchaguzi wa mtu namna gani anataka kuishi. Kelele hizo zilipigwa kutoka miaka ya 50, 60, 70 na ilipofika miaka ya 70 kila mwenye macho aliona, na mwenye sikio alisikia na ambaye akili yake haijashikwa alichambua, na ushoga haukuwa chochote ila balaa kwenye jamii, uozo unao nuka hata kama utaziba pua, harufu yake mbaya, chafu na nzito utaisikia, na Wanasaikiatriki wakarudi tena, kwa kauli moja, kauli isiyo ya kumumunya maneno, kauli rasmi kutoka kwa madaktari hawa kuwa; USHOGA NI UGONJWA WA AKILI. Kifupi kuwa shoga SIYO SAWA, na uma ukaelewa hivyo.
Wanaharakati wa ushoga wakaona mambo si shwari, wakarudi nyuma kidogo, wakaitazama jamii, wakaichambua na kujiuliza kwanini jamii inawakataa? Wakakuna vichwa na wakaja na jibu moja, kwamba jamii inalitazama suala la Usodoma na Gomora kama jambo baya, chafu na lisilofaa kwenye jamii.
Sasa tufanyaje?
Tupambane na tupige kampeni na propaganda na tufanye kila tunacho weza kuzisafisha akili za watu na picha waliyo nayo juu ya Usodoma na Ugomora, na tuwachoree picha safi, nzuri na zilizo na manukato za tendo hilo la Ushoga.
Pisa zikamiminwa, watu wakanunuliwa, wasiyokubali yakawakuta ya kuwakuta na ilipofika mwaka 1973, kundi la shetani likapata mkono wa juu dhidi ya umma. Mashoga walianza kujitangaza waziwazi, hadharani, nyuma yao wakiwepo ‘wanaharakati’ na kila yule aliweza kuchomekwa kwenye mifuko ya Rockeffeler na wenzake. American Psychiatric Association (APA) wakaminywa na kubadilisha kauli kwamba Ushoga si tatizo la kiakili tena, bali ni HALI ya kawaida inayoweza kumpata yeyote. Kauli hii haikuwa YAKITABIBU bali KISIASA ZAIDI. Haikuishia hapo, watu wa masuala ya Uzazi, watu wa genes na vinasaba (DNA) nao wakaminywa na kushikwa kama walivyo shikwa APA, nao wakaja na kauli iliyonyooka ya kuunga mkono KAULI ya mashoga, kwamba iyo hali HALI iliyotajwa na APA kwamba mashoga wanakuwa nayo si nyingine bali ni genes na vinasaba wanavyo zaliwa navyo ambavyo vinawafanya wawe mashoga. Mola tuhifadhi na Mola tusamehe.
Kwahiyo hatua ya kwanza ya kusema ushoga ni laana, ikafutwa mchana kweupe na badala yake, jamii inateremshiwa mabomu. Risasi, kauli ambazo haziko kwenye tafiti kwamba USHOGA NI HALI na SIYO GONJWA LA AKILI TENA.
Hatua ya pili au awamu ya pili sasa ni kuunyanyua hadhi ya ushoga dhidi ya wasio kuwa mashoga kwenye kiwango cha Usodoma na Ugomora kuonekana ni aina ya Life Sytle. Hii ni kuuingiza ushoga kwanguvu na kwa lazima katika kila nyanja na kila sekta inayo ijua wewe hapa duniani, mpaka kila mtu wa kawaida ambaye si Shoga aone ushoga ni aina ya Life Style kama ambavyo mtu akiamua kunywa au kutokunywa pombe, uchaguzi ni wake na habugudhuwi na yeyote.
KATU! HATA KIDOGO HILI SI SAWA!!!
Swali.
Tumefika hapo hatujafika?
Jibu baki nalo mwenyewe, lakini jitathimini kwenye tatizo hili wewe ni suluhisho au sehemu ya tatizo, na chukua hatua.
Mwaka 1988, wanaharakati wa mashoga wapatao 175 walikutana kwa ajili ya kuweka chini mipango ya vita dhidi ya wasio kuwa mashoga. Kwenye mkutano huo uliofanyika Warrenton Virginia, karibu na Washington ilani yao ilichapishwa ambayo ilipendekeza yafuatayo kuhakikisha ushoga unakubalika.
“… kuachana na mbinu zote ambazo zimeshindwa kutuletea tija na badala yake tufuate mbinu zilizo pangwa vizuri kimahesabu kwenye upande wa propaganda … kuweka misingi imara kwa ajili ya hatua itakayo fuata ya kimapinduzi ya mashoga”.
TUNAO WATUMAINIA WATUONGEZE KWENYE NURU, WANATUONGOZA KWENYE KIZA. HUYU NI KIONGOZI WA KIDINI ALIYEAMUA KUACHIA MAJUKUMU YA KIDINI ILI AWEZE KUPATA FURSA YA KUSHIRI MAMBO YA SODOMA NA GOMORA KWA UHURU NA MWANAUME MWENZAKE.
“Jamii yeyote ile ambayo inazikanyaga na kuzikataa hizi taarifa kwamba katika kila wanaume kumi, mmoja au wawili anayo hii hali ya ushoga, na ikatengeneza sheria kupingana na haya, basi jamii hiyo inaumwa vibaya sana.”
Kipengele hicho ni kugeuza mambo kinyumenyume, sababu tafiti huru zina sema ushoga ni gonjwa la akili, lakini sasa mashoga wanageuza kwamba wale tunao wapinga mashoga ndiyo wenye matatizo ya akili.
Lakini kingine mashoga hapo wanacheza ile karata ya kuonekana kuwa wao ndiyo wahanga, wanaonewa, wanatengwa na kubaguliwa katika vita vyao hivyo kwahiyo wanaomba msaada wa kisheria juu ya hilo. Kwamba sheria zibadilike na kuwalinda wao kisheria.
KIONGOZI WA KIDINI AKIDAI USHOGA NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU!!!! HAPA NDIPO TULIPO FIKISHWA.
Swali.
Tumefika hapo hatujafika?
Jibu baki nalo mwenyewe, lakini jitathimini kwenye tatizo hili wewe ni suluhisho au sehemu ya tatizo, na chukua hatua.
Ilani inaendelea kusema,
“Kwa njia moja au nyingine, usambazwaji na uoneshwaji wa alama mbalimbali ndiyo msingi wa kanuni zote kwenye hii kampeni ya propaganda dhidi ya wasio kuwa mashoga.”
Yaani kwa kiswahili fasaha ni kwamba kukoroga akili za watu, maoni na mitazamo yao kwa lugha zenye maudhui ya ushoga ni njia muhimu ya kupenyeza mawazo ya ushoga kwenye akili za watu, lakini bila watu kujua maana chafu ilifichika ya lugha hiyo inayo ambatana na usodoma na gomora.
Mfano halisi wa kifungu hicho ni neno SWAG. Neno hili maana yake ni “SECRET WE ARE GAY” Neno hili limefanywa maarufu kiais kwamba sasa linatumika kama neno la kawaida na vijana wengi hasa kwenye masuala ya mavazi na mitindo. Tizama video kipande cha video ya msanii huyu maarufu anatumia neno hilo SWAG.
SECRET WE ARE GAY (SWAG)
Hivyo mbinu wanayo tumia hapa ni kupunguza makali ya lugha, kisha unaibandika na kuitumia kila mtu aone na baadae inaonekana ni lugha ya kawaida, kama mfano niliotoa hapo juu.
Hivyo basi matangazo, filamu, nyimbo, wasanii na mengine mfano wa hayo yataoneshwa kwa watu yakiwa na maudhui ya ushoga ndani yake, lakini kwanamna ambayo watu hawata weza kugundua, ila wataona ni kitu kizuri na wataiga na litaonekana ni jambo la kawaida.
Mfano mdogo tu, (ingawa hili nitalizungumza kwa kina nitakapo kuja kugusa wasanii na kazi zao katika ushoga)
Wasanii wengi hapa Tanzania, wasanii wa kiume, walianza kutoboa masikio, baadae wakaanza kusuka, baadae wakaanza kupaka lips-shine, wakaanza kupaka poda na kuweka nywele dawa, sasa hivi wanavaa magauni na kurembua kwenye luninga!!!!
Ndiyo usanii huo?
Is it normal for male to pose like a female and call it comedy?
Whats a comedy in it?
Lakini taratibu akili zetu zinasukwa, mawazo yetu yanatengenezwa, maoni na mitazamo yetu inarekebishwa na tunaona ni sawa mwanaume kujiweka kama mwanamke, na mwanamke halikadhalika kama mwanaume, taratibu mashoga wanajitokeza wakiwa wamevaa mavazi ya kike, nasi hatutakuwa na hoja, sababu akili zetu zilishafinywa kitambo tukiwa hatujui.
THIS IS NOT A COMEDY!! RATHER IS A BRAINWASHING AS WE WILL SEE IN THE FUTURE POSTS ON SAME SUBJECT. JE WASANII WETU WANAJUA ATHARI YA WANACHO KIFANYA? JE WANAFANYA KWA MAKUSUDI KAMA SEHEMU YA MPANGO HUO WA MASHOGA? SIJUI LAKINI WAO WAPO KWENYE NAFASI NZURI YA KUJIBU HILI.
Siyo komedi kuvalia mavazi ya jinsia tofauti, bali ni kampeni na mikakati ya mashoga iliyopangwa na kupangika na sasa ipo kwenye action!
KAMPENI YA KUMGEUZA MWANAUME KUWA MWANAMKE KWA JINA LA LIFE STYLE AU KWA UWAZI ZAIDI KWA JINA LA USODOMO NA GOMORA.
Swali.
Tumefika hapo hatujafika?
Jibu baki nalo mwenyewe, lakini jitathimini kwenye tatizo hili wewe ni suluhisho au sehemu ya tatizo, na chukua hatua.
Ilani inaendelea,
“Kitu kikuu ni kuzungumzia ushoga mpaka mpaka jambo hilo liwe kwenye masikio ya kila mtu … kama mtu kawaida ataweza kufikiri juu ya ushoga hiyo inatosha kuwa ni ushindi kwetu kisheria na kijamii.”
Wanacho taka wao ni uhuru wa kufanya usodoma na ugomora wao, popote, kokote, na yeyote muda wowote na usiwaingilie kwenye haki yao hiyo. Hata kama wewe hutakuwa shoga, lakini wape uhuru wao huo, hicho ndicho wanacho taka kwamba ushoga ni aina nyingine katika aina nyingi za chaguzi za maisha.
Lakini wanacho kitaka ni zaidi ya hapo, ni zaidi ya huo uhuru, kama tutakavyo ona kwenye post zitakazo fuata Inshallah.
Genge hili la mashoga na wale wano wakingia kifua, walichokiona ni kikwazo ni maadili ya jamii na hivyo maadili lazima yaondolewe ili waweze kupata uwanja wa kufanya usodoma na ugomora na wakiiaminisha jamii kuwa ushoga ni kitu cha kawaida na watu wa kawaida wanashiriki mambo hayo.
Kwa kisingizio kwamba wanasodoma na gomora ni wahanga wa mfumo wa kijamii na zinazo watenga, na kwakupaza sauti kwamba walindwe kisheria, maana yake ni kwamba yule atakaye zungumza kinyume au dhidi yao kwa namna yeyote atakuwa ametenda jinai ya kibaguzi.
Hivyo umma unyamaze kimya wakati wanasodoma wakijiachia na machafu yao waziwazi, mchana kweupe, na wasikemewe hata wanapotaka kuwafundisha watu wengine huo uchafu wao. Kwenye hatua hiyo umma utakuwa umekufa.
Kwa Marekani kuzungumza au kuwaelimisha Mashoga kwa wanacho fanya si sawa hata kwa kutumia kitabu cha dini ni kosa la kisheria, tizama hichi kipande cha video
KISHERIA HAI FAI KUWAHUBIRIA MASHOGA KUACHA VITENDO VYAO VICHAFU, UTAKWENDA JELA NA FAINI JUU.
Catch you here next time ... tamthilia yetu bado inaendelea nu
Comments
Post a Comment