> Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), ameshauriwa kukamilisha upelelezi ndani ya muda mfupi ama kuiondoa Mahakamani kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake 22
>Washtakiwa hao wako ndani tangu mwaka 2014
Comments
Post a Comment